Kuhusu Jukwaa Letu
Swahili Nasheed Hub ndio jukwaa nambari moja Afrika Mashariki linalowaletea wapenzi wa muziki wa Kiislam maktaba kubwa ya nasheed zenye maadili ya kidini kwa lugha ya Kiswahili, Kiarabu na Kiingereza.
Vitengo Maarufu vya Nasheed
- Tawheed: Nyimbo zinazohusu upweke na uwezo wa Allah (SWT).
- Sifa za Allah na Mtume: Madaha na qaswida za kumsifu Allah na Mtume Muhammad (SAW).
- Visa vya Mitume: Mafunzo ya kiimani kupitia visa vya Mitume.
- Dua na Dhikr: Sauti za unyenyekevu, toba, na maombi ya kheri.
- Akhlaq na Maadili: Mafunzo ya tabia njema, nidhamu, na kuheshimu wazazi.
- Ramadhani: Nyimbo maalum za mwezi mtukufu wa Ramadhani na saum.
- Hajj na Umrah: Nyimbo za ibada ya Hijja na safari ya Makka.
Wasanii Maarufu wa Nasheed Tanzania
Sikiliza na pakua kazi za waimbaji bora kama vile:
- Brother Nassir - Msanii gwiji wa nasheed za Kiswahili Tanzania.
- Soud Khafa - Munsheed maarufu wa qaswida za maadili na subira.
- Sirsedenga - Mwimbaji mashuhuri wa sifa za Mtume (SAW).
- Salim Ali - Munsheed nguli mwenye sauti maridhawa.
- Afaaizu Luheta - Munsheed mwenye tungo zenye mafunzo mazito.
- Maher Zain - Gwiji wa kimataifa wa nyimbo za kiislam.
Qur'ani Tukufu Sauti
Pia tunakuletea usomaji wa Surah zote 114 za Qur'an Tukufu uliosomwa na Sheikh Mishary Rashid Alafasy pamoja na tafsiri ya Kiswahili: Tembelea Maktaba ya Qur'an.